Nahodha wa Ndada FC, Kigi Makasi ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Singida United baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili

Nahodha wa Ndada FC, Kigi Makasi, leo ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Singida United baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.
Kocha mkuu wa Singida United Mdachi Hans van der Pluijm ameiambia Goal, kuwa amemchukua Makasi kutokana na uwezo aliokuwa nao kwenye kikosi cha Ndanda.
"Ni kweli nimemsajili Makasi ni mchezaji mzuri mwenye kipaji na uzoefu wake naamini utatusaidia kufanya vizuri kenye ligi na kusaidia kufikia malengo ya timu," amesema Pluijm.
Kocha huyo wa zamani wa Yanga amesema baada ya Makasi huenda wasiongeze mchezaji mwingine kwa i tayaei idadi ya wachezaji aliokuwa nao wanamtosha kwa ajili ya msimy ujai.
Amesema kwasasa wanaendelea na mazoezi mkiani mwanza na wiki ijayo watasafiri kwenda Morogoro kwa ajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya Yamga.
Baada ya hapo Pluijm ameaema watarudi Mwanza kuendelea na mazoezi hadi watakapoanza msimu mpya ambapo qataanzia ugenini dhidi ya Mwasui FC.
ယန်းအာဖရိကန်စ်
အာဇမ်
မှတ်ချက် အားလုံး